Fikia Wateja Wako Mtandaoni kwa Uhakika

Unataka kuongeza wateja na kutangaza huduma zako kwa njia ya haraka, rahisi na ya kisasa? Tovuti yetu ni jukwaa sahihi la kutangaza biashara zako kwa watu wa Tanzania na Afrika Mashariki.

Faida za Kutangaza Nasi

  • Ufikiaji wa maelfu ya watu kwa siku moja
  • Tunakushauri jinsi ya kuipa brand biashara, au Taasisi yako.
  • Matangazo yenye mwonekano wa kitaalamu (blog, banner, video n.k.)
  • Tunapokea matangazo ya biashara, elimu, ajira, teknolojia, n.k.
  • Tunatoa ushauri wa aina ya tangazo linalofaa kwa bidhaa au huduma yako

Aina za Matangazo Tunayopokea

Tunakaribisha aina mbalimbali za matangazo kulingana na mahitaji ya wateja wetu. Hizi ni baadhi ya aina maarufu ambazo unaweza kutangaza kupitia tovuti yetu:

1. Matangazo ya Biashara (Products & Services)

  • Maduka ya mtandaoni (Online Shops)
  • Huduma za usafi, saluni, ushonaji, catering
  • Matangazo ya ofa na punguzo (Sales & Promotions)

2. Matangazo ya Elimu

  • Vyuo, shule, na taasisi za mafunzo
  • Kozi fupi au online classes
  • Taarifa za usajili au ufadhili wa masomo

3. Matangazo ya Nafasi za Kazi

  • Nafasi za ajira serikalini au sekta binafsi
  • Internship & Volunteer Opportunities
  • Taarifa za usaili au shortlist

4. Matangazo ya Matukio (Events)

  • Semina, warsha, na mikutano ya kibiashara
  • Maonyesho, tamasha, na harusi
  • Uzinduzi wa bidhaa au huduma mpya

5. Matangazo ya Video / Banner Ads

  • Tangazo la video ya sekunde 15–60
  • Picha (banners) zinazowekwa kwenye makala au ukurasa mkuu
  • Visual campaigns (brand awareness)

6. Makala Maalum (Sponsored Blog Posts)

  • Makala yenye maelezo ya huduma yako
  • Inachapishwa kwenye tovuti yetu na kugawanywa mitandaoni
  • SEO-friendly – huendelea kuonekana kwenye Google

Jinsi ya Kutangaza Nasi:

Tuma ujumbe mfupi ukituambia:

  • Aina ya huduma au bidhaa unayotangaza
  • Malengo yako
  • Njia unayotaka tutumie (blog post, banner, video, nk)

Wasiliana nasi moja kwa moja kupitia:

Bei zetu hutegemea aina ya tangazo, ukubwa na muda wa kutangaza. Tutakutumia kifurushi maalum kulingana na mahitaji yako.