Hii hapa orodha kamili ya linki rasmi za kutuma maombi ya udahili vyuo vikuu vya Tanzania 2025/2026. Tumia links hizi kuomba chuo moja kwa moja bila kupitia kwa wakala.
Utangulizi
Kila mwaka baada ya kutolewa kwa Mwongozo wa Udahili wa TCU na matokeo ya kidato cha sita, wanafunzi huanza mchakato wa kutuma maombi ya kujiunga na vyuo vikuu kupitia mifumo rasmi ya kila chuo.
Kwa mwaka wa masomo 2025/2026, maombi yanatarajiwa kuanza kati ya Julai hadi Septemba 2025, na kila chuo kina mfumo wake wa maombi mtandaoni (Online Application System). Hapa chini tumekuwekea linki zote rasmi za vyuo vikuu maarufu Tanzania ili usikose nafasi yako.
Linki za Kutuma Maombi ya Udahili – Tanzania 2025/2026
Bonyeza jina la chuo unachotaka ili uanze mchakato wa kuomba:
ORODHA YA VYUO VIKUU TANZANIA >>> Listi Ya TCU 2025
Vyuo Vikuu vya Umma
- Tuma Maombi UDSM – University of Dar es Salaam (UDSM)
- Tuma Maombi UDOM – University of Dodoma (UDOM)
- Tuma Maombi SUA – Sokoine University of Agriculture (SUA)
- Tuma Maombi ARDHI – Ardhi University (ARU)
- Tuma Maombi Mzumbe – Mzumbe University (MU)
- Tuma Maombi MUHAS- Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS)
- Tuma Maombi MUST– Mbeya University of Science and Technology (MUST)
- Tuma Maombi NM-AIST -Nelson Mandela Institution of Science and Technology (NM-AIST)
- Tuma Maombi OUT – Open University of Tanzania (OUT)
- Tuma Maombi SUZA – State University of Zanzibar (SUZA)
Vyuo vya Afya na Sayansi Shirikishi
- Tuma Maombi KCMC -Kilimanjaro Christian Medical University College (KCMC)
- Tuma Maombi CUHAS (BUGANDO) – Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS)
- Tuma Maombi SFUCHAS – St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS)
- Tuma Maombi MUHAS – Muhimbili University (MUHAS)
Vyuo Vikuu Binafsi na vya Kidini
- Tuma Maombi SJUT – St. John’s University of Tanzania (SJUT)
- Tuma Maombi SJUIT -St. Joseph University in Tanzania (SJUIT)
- Tuma Maombi Tumaini– Tumaini University Makumira (TUMA)
- Tuma Maombi SAUT – St. Augustine University of Tanzania (SAUT)
- Tuma Maombi RUCU –Ruaha Catholic University (RUCU)
- Tuma Maombi MWECAU Mwenge Catholic University (MWECAU)
- Tuma Maombi MARUCo – Marian University College (MARUCo)
Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kutuma Maombi
- Hakikisha una namba zako sahihi za mtihani wa NECTA (Form IV & VI)
- Jipange na programu/kozi unazotaka kulingana na sifa zako
- Lipia ada ya maombi kupitia control number utakayopewa
- Tumia email na namba ya simu inayofanya kazi
- Soma Mwongozo wa Udahili wa TCU 2025/2026 kabla ya kuomba
- Usitumie wakala – tumia mfumo rasmi wa chuo pekee
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Je, ni vyuo vingapi ninaweza kuomba?
Unaweza kuomba chuo kimoja au zaidi, ila utaweza kuthibitisha kimoja tu.
Je, maombi yanaanza lini rasmi?
Baada ya NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha sita. TCU hutoa ratiba rasmi (calendar) kila mwaka.
Je, kuna deadline ya maombi?
Ndio, kila chuo kina tarehe ya mwisho. Angalia TCU calendar au tovuti ya chuo.
Hitimisho
Kwa wanafunzi wanaotafuta kujiunga na chuo kikuu mwaka 2025/2026, hii ndio orodha rasmi ya linki zote muhimu za vyuo vikuu nchini Tanzania. Hakikisha unaomba mapema, unazingatia sifa, na hutumii linki za bandia.
Bonyeza chuo unachotaka hapa juu, na tuma maombi yako mapema.
Leave a Reply