shule za advance za mkoa wa tabora
Mkoa wa Tabora ni miongoni mwa mikoa inayojivunia shule nyingi za sekondari za Kidato cha Tano na Sita (A-Level) zinazotoa elimu bora kwa wanafunzi. Shule hizi zinatoa mchepuo mbalimbali wa masomo, ikiwa ni pamoja na PCM (Physics, Chemistry, Mathematics), PCB (Physics, Chemistry, Biology), HGE (History, Geography, Economics), CBG (Chemistry, Biology, Geography), HGL (History, Geography, Languages), HKL (History, Kiswahili, Languages), EGM (Economics, Geography, Mathematics), na PGM (Physics, Geography, Mathematics).
Katika makala hii, tutatoa orodha ya shule zote za sekondari za Kidato cha Tano na Sita zilizopo mkoani Tabora, tukiainisha wilaya, jina la shule, namba ya usajili, aina ya shule (serikali au binafsi), na mchepuo wa masomo zinazotolewa.
Orodha ya Shule za Sekondari za Kidato cha Tano na Sita Mkoani Tabora:
Wilaya ya Tabora Mjini:
- Kazima Secondary School
- Namba ya Usajili: S.31, S0314
- Aina ya Shule: Mchanganyiko (Serikali)
- Michepuo: PCM, EGM, PCB, HGE, HGL, HKL, ECA
- Milambo Secondary School
- Namba ya Usajili: S.4, S0132
- Aina ya Shule: Wavulana Pekee (Serikali)
- Michepuo: PCM, PGM, EGM, PCB, CBG, HGE, HKL, KLF
- Tabora Boys’ Secondary School
- Namba ya Usajili: S.20, S0155
- Aina ya Shule: Wavulana Pekee (Serikali)
- Michepuo: PCM, PCB, HGL
- Tabora Girls’ Secondary School
- Namba ya Usajili: S.7, S0220
- Aina ya Shule: Wasichana Pekee (Serikali)
- Michepuo: PCM, PCB, CBG, HGL
Wilaya ya Urambo:
- Urambo Day Secondary School
- Namba ya Usajili: S.519, S0754
- Aina ya Shule: Wasichana Pekee (Serikali)
- Michepuo: CBG, HGK, HGL, HKL
- Uyumbu Secondary School
- Namba ya Usajili: S.1883, S3788
- Aina ya Shule: Mchanganyiko (Serikali)
- Michepuo: PCM, PCB, HGE, HGL, HKL
Wilaya ya Igunga:
- Igunga Secondary School
- Namba ya Usajili: S.484, S0713
- Aina ya Shule: Mchanganyiko (Serikali)
- Michepuo: HGE, HGK, HKL
- Mwisi Secondary School
- Namba ya Usajili: S.1658, S2384
- Aina ya Shule: Mchanganyiko (Serikali)
- Michepuo: CBG
- Nanga Secondary School
- Namba ya Usajili: S.438, S0744
- Aina ya Shule: Mchanganyiko (Serikali)
- Michepuo: CBG, HGE, HGK, HKL
- Ziba Secondary School
- Namba ya Usajili: S.888, S1251
- Aina ya Shule: Mchanganyiko (Serikali)
- Michepuo: HGL, HKL
Wilaya ya Kaliua:
- Kaliua Secondary School
- Namba ya Usajili: S.697, S0936
- Aina ya Shule: Mchanganyiko (Serikali)
- Michepuo: PCM, PCB, CBG
- Kashishi Secondary School
- Namba ya Usajili: S.1881, S2531
- Aina ya Shule: Mchanganyiko (Serikali)
- Michepuo: PCM, PCB
Wilaya ya Sikonge:
- Hamza Azizi Ally Memorial Secondary School
- Namba ya Usajili: S.2071, S2147
- Aina ya Shule: Wavulana Pekee (Serikali)
- Michepuo: PCM, PCB
- Kili Secondary School
- Namba ya Usajili: S.316, S0517
- Aina ya Shule: Wasichana Pekee (Serikali)
- Michepuo: HGK, HGL
- Bulunde Secondary School
- Namba ya Usajili: S.2946, S2998
- Aina ya Shule: Wavulana Pekee (Serikali)
- Michepuo: CBG, HKL
- KamagI Secondary School
- Namba ya Usajili: S.4328, S4921
- Aina ya Shule: Wasichana Pekee (Serikali)
- Michepuo: HGK, HGL
- Kiwere Secondary School
- Namba ya Usajili: S.1302, S2518
- Aina ya Shule: Wavulana Pekee (Serikali)
- Michepuo: EGM
Wilaya ya Ulyankulu:
- Idete Secondary School
- Namba ya Usajili: S.674, S0824
- Aina ya Shule: Wasichana Pekee (Serikali)
- Michepuo: PCB, HKL
- Ndono Secondary School
- Namba ya Usajili: S.543, S0786
- Aina ya Shule: Mchanganyiko (Serikali)
- Michepuo: PCB, HGK, HKL
- Tura Secondary School
- Namba ya Usajili: S.3118, S3442
- Aina ya Shule: Wasichana Pekee (Serikali)