Shule Zilizoongoza Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 - Top 10 Kitaifa (GPA Bora)

Hizi hapa Shule Zilizoongoza Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 – Top 10 Kitaifa (GPA Bora)

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi Matokeo ya Kidato cha Sita (ACSEE) 2025 tarehe 7 Julai 2025, ambapo ufaulu wa kitaifa umefikia zaidi ya asilimia 99.95%. Katika matokeo hayo, shule kadhaa zimeonyesha kiwango cha juu cha ufaulu kwa mujibu wa wastani wa GPA.

Ifuatayo ni orodha ya shule 10 bora kitaifa kwa mujibu wa GPA ndogo (bora zaidi):

Jedwali la Shule 10 Bora Kitaifa – Kidato cha Sita 2025

NafasiJina la ShuleWastani wa GPA
1Kemebos Secondary1.2776
2Tabora Boys’ Secondary1.3745
3St. Mary’s Mazinde Juu1.3994
4Kibaha Secondary1.4011
5Ahmes Secondary1.4105
6Marian Boys’ Secondary1.5746
7Mzumbe Secondary1.6018
8Feza Boys’ Secondary1.6728
9Sengerema Secondary1.7763
10Tabora Girls’ Secondary1.8265

Linki za matokeo ya shule tajwa hapo juu;

ShuleLink ya Matokeo NECTA
Kemebos SecondaryBofya hapa
Tabora Boys’ SecondaryBofya hapa
St. Mary’s Mazinde JuuBofya hapa
Kibaha SecondaryBofya hapa
Ahmes SecondaryBofya hapa
Marian Boys’ SecondaryBofya hapa
Mzumbe SecondaryBofya hapa
Feza Boys’ SecondaryBofya hapa
Sengerema SecondaryBofya hapa
Tabora Girls’ SecondaryBofya hapa

Muhtasari wa Kitaifa (Ufaulu)

  • Jumla ya watahiniwa waliofanya mtihani: 125,843
  • Watahiniwa waliofaulu: 125,779 (asilimia 99.95%)
  • Watahiniwa waliobainika na udanganyifu na matokeo yao kufutwa: 71
  • Chanzo rasmi: Dkt. Said Mohamed, Katibu Mtendaji – NECTA

Jinsi ya Kuangalia Matokeo Yako ya Kidato cha Sita 2025

Ili kuona matokeo ya shule au mwanafunzi mmoja mmoja:

Mapendekezo ya Mhariri;

Hitimisho

Matokeo haya ni kiashiria cha juhudi kubwa zinazowekwa na walimu, wanafunzi na wadau wa elimu nchini. Hongera kwa shule zote zilizofanya vizuri! Endeleeni kuinua viwango vya elimu.

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

    Leave a Reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *