Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2025: na vyuo vya elimu ya ufndi na ualimu
Karibu katika blogu yetu ya inayokuletea habari za uhakika kuhusiana na elimu pamoja na mambo mengine.
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha tano 2025
Haya hapa majina ya waliochaguliwa kidato cha tano, vyuo
Ijumaa, Juni 06, 2025
Wanafunzi 149,818 sawa na asilimia 69.96 wamechaguliwa Kujiunga na masomo ya kidato cha tano ambapo 64,323 wamechaguliwa kijinga na vyuo vya elimu ya ufundi na ualimu
Jumla ya Wanafunzi 214,141 wakiwemo wasichana 97,517 na wavulana 116,624 wameonekana wana sifa ya Kujiunga na masomo ya kidato cha tano na wengine vyuo vya katiikijumlisha Wanafunzi 1028 wenye uhitaji maalum
Kwa mwaka huu, majina ya waliochaguliwa yamechapishwa kwenye tovuti rasmi ya TAMISEMI, https://selform.tamisemi.go.tz
Ni tovuti zipi za kiserikali nazoweza kutazama orodha ya waliochaguliwa kidato cha Tano 2025?
Ili kuangalia orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano kwa mwaka 2025, unaweza kutembelea tovuti zifuatazo;
- Tovuti rasmi ya Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kupitia kiungo hiki: https://selform.tamisemi.go.tz/content/selection-and-allocation/
- Baraza la Mitihani la Taifa la Tanzania NECTA kupitia: https://www.necta.go.tz/
- Tovuti ya wizara ya Elimu kupitia: https://www.moe.go.tz/
Jinsi ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa kidato cha tano 2025
Ili kuona kama umechaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka 2025, fuata hatua hizi rahisi:
- Tembelea tovuti rasmi ya TAMISEMI: https://selform.tamisemi.go.tz
- Chagua “First Form Five Selection 2025 ”: Mpangilio huu upo kwenye ukurasa wa mbele.
- Chagua mwaka husika: Chagua 2025
- Chagua mkoa, Halmashauri ya Wilaya kisha tafuta jina la shule uliosoma:
- Angalia matokeo: Ukishaingiza taarifa, matokeo ya uchaguzi yataonekana kielelezo kikubwa na majina ya waliochaguliwa, shule walizopangiwa, na tahasusi zao.
ARUSHA | DAR ES SALAAM | DODOMA |
GEITA | IRINGA | KAGERA |
KATAVI | KIGOMA | KILIMANJARO |
LINDI | MANYARA | MARA |
MBEYA | MOROGORO | MTWARA |
MWANZA | NJOMBE | PWANI |
RUKWA | RUVUMA | SHINYANGA |
SIMIYU | SINGIDA | SONGWE |
TABORA | TANGA |
TAZAMA HAPA: Orodha ya Selection za Form Five 2025 hapa! Pindi tu zitakapotazangaza na TAMISEMI.
TUMIA JEDWALI HILI NI RAHISI ZAIDI
ARUSHA | DAR ES SALAAM | DODOMA |
GEITA | IRINGA | KAGERA |
KATAVI | KIGOMA | KILIMANJARO |
LINDI | MANYARA | MARA |
MBEYA | MOROGORO | MTWARA |
MWANZA | NJOMBE | PWANI |
RUKWA | RUVUMA | SHINYANGA |
SIMIYU | SINGIDA | SONGWE |
TABORA | TANGA |
TAZAMA PIA TAARIFA KUHUSU;
Aidha tambua kuwa taarifa za uchaguzi wa wanafunzi uliopo kwenye jedwali hapo ni za mwaka jana 2024/2025 hivyo tuanendelea kusubiri taarifa rasmi kutoka TAMISEMI kuhusuina na uchaguzi wa mwaka huu 2025/2026 hivyo mara tu baada kutangazwa rasmi, nasi kupitia makala au ukurasa huu tutaziweka mara moja ili kupata taarifa hizo kwa wakati.
Ni Taarifa Gani Zinazopatikana Katika Matokeo?
Kwenye orodha ya majina ya waliochaguliwa utapata taarifa muhimu kama zifuatazo:
- Jina la mwanafunzi
- Shule aliyopangiwa
- Kombinasheni (tahasusi) aliyopangiwa, mfano PCB, EGM, HGL, n.k.
- Aina ya shule: Shule ya kutwa au bweni
- Mkoa na wilaya ya shule aliyopangiwa
Nini Cha Kufanya Baada ya Kuchaguliwa?
Baada ya kubaini kuwa umechaguliwa unatakiwa kuchukua hatua zifuatazo:
- Angalia tarehe ya kuripoti shuleni: Hii inaonekana kwenye barua ya kujiunga.
- Jiandae na mahitaji yote: Hii ni pamoja na sare za shule, ada kama inahusika, vifaa muhimu vya masomo, na mahitaji binafsi.
- Pakua barua ya kujiunga (Joining Instruction): Barua hii hupatikana pia kwenye tovuti ya TAMISEMI au tovuti ya shule husika—inaelekeza kila mahitaji na mawasiliano ya shule.
Ikiwa Hukuchaguliwa – Fursa na Hatua Mbadala
Kama jina lako halijaonekana kati ya waliochaguliwa:
- Endelea kufuatilia: TAMISEMI hutoa awamu ya pili kwa majina ya wanafunzi wengine watakaopata nafasi.
- Angalia tena kwenye selform mara kwa mara: Baada ya muda kunaweza kutangazwa nafasi zilizojazwa na ambazo hazikujazwa.
- Zingatia vyuo vya kati au VETA: Hizi ni fursa mbadala ikiwa hutapata nafasi ya kidato cha tano.
Mabadiliko ya Shule au Tahasusi
Mara nyingi, mabadiliko ya shule au tahasusi huruhusiwa ikiwa kuna sababu za msingi (kiafya, umbali, mazingira ya kifamilia n.k.):
- Wasiliana na TAMISEMI au shule husika: Utoaji wa mabadiliko hufanyika kwa nyakati maalumu na kwa taratibu rasmi.
- Wasiliana na uongozi wa shule: Kama una sababu maalumu, unaweza kuwasiliana na shule uliyochaguliwa kwa msaada au ushauri zaidi.
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara kuhusu (FAQ)
- Jina langu halionekani, nifanye nini?
- Hakikisha umeandika jina lako sawa na uliloandika wakati wa mtihani. Subiri awamu ijayo ya uchaguzi au fatilia taarifa za ziada TAMISEMI.
- Nawezaje kubadilisha taarifa zangu?
- Fuata utaratibu unaoainishwa kwenye tovuti ya TAMISEMI au wasiliana na shule husika.
- Shule yangu mpya iko wapi?
- Angalia mkoa na wilaya ulizopangiwa kwenye matokeo au tafuta msimbo wa shule kwenye joining instruction.
- Muda wa kuripoti lini?
- Tazama barua ya joining instruction au orodha ya taarifa za shule husika.
Hitimisho
Tunashauri wazazi, walezi na wanafunzi kuchukua hatua mapema mara baada ya kutangazwa kwa majina ya waliochaguliwa, kujiandaa kikamilifu kwa safari ya elimu ya sekondari. Kwa wale waliopangiwa mbali au shule wasizotarajia, tambua ni fursa mpya ya kufungua ukurasa mpya maishani. Kwa msaada zaidi na maelezo, tembelea tovuti ya TAMISEMI au wasiliana na uongozi wa shule uliochaguliwa.
Kila la heri kwa wanafunzi wote wa kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2025/2026!