Ijumaa, Juni 06, 2025
Juni 6, 2025 – Dodoma:
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa, ametangaza rasmi majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa mwaka wa masomo 2025/2026.
TAMISEMI imetangaza rasmi majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka 2025. Orodha hii inahusisha wanafunzi wote waliomaliza mtihani wa kidato cha nne (CSEE) 2024 na kufuzu kwa ajili ya kuendelea na elimu ya sekondari kidato cha tano katika shule mbalimbali za serikali Tanzania Bara.
Wanafunzi sawa na asilimia wamechaguliwa Kujiunga na masomo ya kidato cha tano ambapo wamechaguliwa kijinga na vyuo vya elimu ya ufundi na ualimu
Jumla ya Wanafunzi 214,141 wakiwemo wasichana 97,517 na wavulana 116,624 wameonekana wana sifa ya Kujiunga na masomo ya kidato cha tano na wengine vyuo vya katiikijumlisha Wanafunzi 1028 wenye uhitaji maalum